ukizubaa tu unapigwa fosi kingi na mtu anaendelea na taimu zake. ni mwendo wa njia tatu,kuanzia banda la ngozi mpaka tazara.sasa jiulize hiyo njia ya tatu inatokea wapi kwa umbali huo. wengine wenye haraka zao ndio waleeee wanachana zao.
No comments:
Post a Comment