
kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo asubuhi iliwakuta watoto hawa wa shule katika ukingo wa maji ya Bahari ya hindi iliopo pembezini mwa barabara ya seaveaw.sasa sujui shuleni walienda muda gani??maana hiki kipindi kilikuwa na cha kuwepo shuleni kwa watoto hawa.
Ungewafata na kuwauliza Kama mnajuwa wazazi wenu pesa wanapata vipi kuwasomesha? na walimu wanawacha familia zao asubuhi na mapema kuja kuwasomesha nyie? unajuwa watoto wangapi vijijini wanatafuta nafasi ya kusoma hawapati wazee wao hawana uwezo na wengine kufanyishwa kazi?. ndio hawa wakiambiwa waende na mfuko wa rambo kwa siku moja tu ili kesho anunuliwe Begi analia anasema mie leo sendi shule. Pazi.
ReplyDelete