HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 1, 2010

Salamu Za Pasaka Toka Kwa Mdau Babukadja


Habari Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa
Napenda kukutakia wewe pamoja na wadau wote wa Mtaa Kwa Mtaa Blog sikukuu njema sana ya Pasaka.
Tutumie sikukuu hii kutafakari yote mema ambayo rafiki zetu na Mungu wetu wametutendea.
Tutumie sikukuu hii kusamehe wote waliotukosea na tuanze upya safari ya urafiki wetu.
Tumia sikukuu hii kumuwaza rafiki uliyempoteza siku nyingi halafu useme kimomoyo, "Sikukuu njema rafiki yangu".

Pasaka Njema,

Babukadja Sankofa
www.fotobaraza.ning.com

*********************************************************
NB:Wadau wapendwa wa Blog yetu hii,naomba kuwakaribisha katika libeneke la kutuma salamu za sikukuu ya Pasaka kupitia jamiothman@gmail.com nami bila hiyana nitazitandaza hapa mtaani kwetu na zitawafikia walengwa.msisite kufanya hivyo wadau wapendwa kwani Mtaa Kwa Mtaa Blog ni mali yenu na kuweni huru kuitumia mtakavyo.

-Mzee Wa Mtaa Kwa Mtaa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad