HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 1, 2010

Pasaka Njema Wadau

mie niko zangu huku nanihii kwa ajili ya Mapumziko mafupi ya sikukuu ya Pasaka
hivyo basi naomba niwatakie nanyi wadau wakuu wa blog yetu hii ya Mtaa Kwa Mtaa,mapumziko mema ya kumbukumbu ya kufariki kwa Bwana Yesu Kristo na hatimae kufufuka siku ya tatu ambayo ndio imeadhimishwa siku ya Pasaka.hivyo basi kwa heshima na taadhima naomba kuwatakia kila la kheri katika mapumziko ya sikukuu hii.tuisherehekee kwa amani na utulivu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad