
geti kuu la kuingilia

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Open Sanit,Bw. Octavian Mshiu akiwa ofisini kwake.Open Sanit ni kampuni inayojishughulisha na mambo mbali mbali kama yaonekanavyo katika picha za hapo chini.

Msimamizi wa Fedha wa kampuni ya Open Sanit,Bw. Adelard Leodger akiwa na mkuu wa kitengo cha Printing katika kampuni hiyo,Bw. Sasu Charles.

Dada Anastasia Kilonfa akiendeleza libeneke lake

Dada Anastasia akipanga panga bidhaa


baadhi ya uniform zinatengenezwa na kampuni ya Open Sanit Co. Ltd iliopo Mandela road jirani kabisa na AutoMech iliopo kule maeneo ya Tabata.

viatu

fundi mkuu wa kutengeneza mabegi na maturubai

fundi mkuu katika kitengo cha viatu,Bw. Bakari Almas akiwa katika harakati ya kuunda viatu

viatu vikiandaliwa

sehemu ya Printing ikiongozwa na Bw. Sasu

sehemu ya ushonaji wa uniform za aina mbali mbali

baadhi ya uniform ambazo tayari zimeshashonwa,zikisubiri kunyooshwa na kupangwa sehemu husika

njia kuu ya kuingilia Open Sanit Co.Ltd iliopo maeneo ya Tabata,ubavuni mwa barabara ya Mandela Road,jirani kabisa na AutoMech.ipo mkono wa kushoto kama unatokea Ubungo kuelekea Buguruni na mkono wako wa kulia kama ukitokea Buguruni kuelekea Ubungo.
eneo jipya ambalo kampuni ya Open Sanit inalijenga kwa ajili ya mradi mpya wa uzalishaji wa Mtama ambalo liko huko humo ndani ya jengo la kampuni ya Open Sanit. unaweza kuwacheki kwa mawasiliano yao kama ifuatavyo:-. simu namba ya meza +255 22 2807122 simu mkononi +255 713 6085 41/+255 713 334462 barua pepe opensanit@opensanit.com opensanit@hotmail.com tovuti: www.opensanit.com
No comments:
Post a Comment