
JINA ABDULKARIM HAJI SALUM LONDA
UMRI MIAKA 13
JESHINI PRIMARY SCHOOL (MABIBO), DAR ES SALAAM
ALITOWEKA NYUMBANI MABIBO IJUMAA YA WIKI ILIYOPITA, ALIKUWA AMEVAA TSHIRT NYEUSI AINA YA JEZI MBELE IMEANDIKWA ARSENAL NA SURUALI AINA YA TRACK SUIT YA RANGI NYEKUNDU.
ANAPENDA KUTEMBELEA KWA NDUGU MAENEO YAFUATAYO,UKONGA MAJUMBA SITA,UKONGA KWA MAHITA ,VINGUNGUTI,KAWE ,KIWALANI (LUMO),SHINYANGA NA MWANZA.
NAOMBA ATAKAEMUONA AWASILIANE NAMI KWA
ZAWADI BAHENGE
0754 710 561
0754557557
0754557950
0784656676
ASANTENI KWA MSAADA WENU
No comments:
Post a Comment