HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 9, 2010

Anavua Samaki!

dogo akicheza na ndoano yake wakati akivua Samaki katika mto uliopo pembezoni mwa barabara ya old Bagamoyo rodi mbele kidogo ya Tanesco Mikocheni.sijui alivua Samaki wangapi leo??

1 comment:

  1. Umenikumbusha mbali sana, kaka zangu na hata mie tumefanya sana kazi hiyo pia kuua vindege mweeee!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad