HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 1, 2010

Wapi Hapa??

picha hii nimeipiga jana mchana,je mnaweza jua ni mahala gani hapa??

5 comments:

  1. migo migo hapo umepiga ukiwa kituo cha basi kanisa la rs kwambele

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni Magomeni Hospital kuelekea Morocco Hotel! Mitaa yako ya kujidai!

    ReplyDelete
  3. HAPO NI MAGOMENI KANISANI MBELE YA MAGOMENI HOSPITAL KAMA UNAENDA MKWANJANI-KINONDONI

    ReplyDelete
  4. hapo ni home kwetu kabisa..yani dah i miss it..,magomeni hospitali kituo cha daladala..karibu na kota na wilayani..ukivuka barabara unaiona garden ukilipita kanisa unakutana na barabara ya mlandizi kuelekea sinza na ukinyoosha unaelekea kinondoni mkwajuni...i miss it

    ReplyDelete

Post Bottom Ad