HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 31, 2010

Nguzo Za Umeme Mkubwa Zaendelea Kutandazwa

Mafundi wa Tanesco wanaoendelea kuweka nguzo za umeme mkubwa,wakiendelea na libeneke lao katika barabara sam nujoma kama walivyokutwa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa mchana wa leo.
kazi ikiendelea katika barabara ya sam nujoma rodi.natumai kazi hii ikimalizika hata matatizo ya kukatika katika kwa umeme hapa nchini kutapungua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad