Familia ya Mzee Francis R.Ndukeki ya Ilala,jijini Dar es Salaam.inasikitika kutangaza kifo cha Mzee wao Mzee Francis Ndukeki (pichani),kilichotokea usiku wa kumkia leo katika Hospital ya Hindu Mandal.
mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Ilala,jijini Dar.
Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu Baba yetu mpendwa Mzee Francis Ndukeki mahala pema peponi
-Amein
No comments:
Post a Comment