HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 30, 2010

Mshindi wa NITASOMA MOBILE 2 Apatikana


Wiki ya pili ya shindano la kitaaluma NITASOMA SCHOLARSHIP Promotionyapata mshindi Bwana Boniface Peter Mwaipopo, kutoka Chunya Mbeya.

Mshindi huyo wapili toka shindano lilipanza rasmi 15.03.2010 alipatikanana kutanganzwa jana asubuhi.

Mshindi wa kwanza Bwana Witnes Lucas toka Iringa (Tumaini University).

Washindi hao wanaombwa kufika ofisi za 4Layers (T) ltd. zilizoko MsasaniDar es salaam kujichukulia zawadi zao.Au wapige simu 0765 232383 wawasiliane na meneja masoko wa 4layers (T)ltd.

Zawadi nyingine kama vitabu va masomo, Laptop na scholarships ambazounaweza kujishindia kwa kutuma ujumbe mfupi wenye neno NITASOMA SEC (kwasekondari), NITASOMA HIGH (kwa Alevel) na NITASOMA UNI (kwa elimu ya juu)kwenda 15767.

4Layers (T) Ltd.
P.O.Box 77901
Dar es salaam.
Masasani - Kimweri Rd.
Plot 696 Block "F"

0765 232383

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad