Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya njema na Amani tele moyoni mwangu katika ya leo ambayo ni siku muhimu na ya kipekee kabisa katika mwaka huu.pia nawashukuruni Wadau wangu kwa kuniwezesha kuendeleza libeneke hadi leo hii,.Mungu awajaalie sana na muendelee kuwa pamoja nami siku zote.Nawashukuruni sana.
tena nisijesahau bure,ngoja nijiimbie kidogo.
HEPI BESDEI TU MI
HEPI BESDEI TU MI
HEPI BESDEI DIA MIMI
HEPI BESIDE TU MIIIIIIIIIIIII.......
PAPA PAPA PAPA PAPA...........
....Hongera sana. Nakutakia maisha marefu na yenye mafanikio.
ReplyDeleteHepi besdei mkuu.
ReplyDeleteTunashukuru kwa kuendelea kutuhabarisha kwa njia ya picha.
Keep up the good work.
Kidumu.
Hepi besidei tu u. au Hongera kwa siku ya kuzaliwa wewe wenyewe na Mungu akuzidishie miaka mingi.
ReplyDeleteHongera kwa kutimiza miaka uliyotimiza mungu akulinde ufike miaka 100 mbele ili libeneke liendelee hadi uzeeni. anna mbwiga
ReplyDelete..umitulia mwenyewe kijana...Hongera sana Chalii si mchezo.Mungu aendelee kukupa nguvu na kukuangazia nuru njeme kwa kila jambo unalolifanya kwa faida ya sisi sote tumwaminiae.
ReplyDeletehongera mkuu
ReplyDeleteMzee mzima Master Kif kutoka kingkif.blogspot.com nakupa hongera 'mchizi' wangu na namuomba mwenyezi mungu azidi kukupa maisha marefu.Poa!
ReplyDeletehahahaha...u r so funny...happy bday bro! x
ReplyDeleteHongera Kaka samahani mie naona kama nimekuwa wa mwisho vile kukupa Hongera za siku ya kuzaliwa Happy Maulidi(birthday) kwa Mdau wako Nambari Moja Pazi.
ReplyDeleteLukwangule anakutakia maisha mema yenye mafanikio makubwa na hasa katika kuendeleza libeneke
ReplyDeleteMzima Mkuu wa kazi habari ya masiku?
ReplyDeleteHappy belated birthday na asante kwa kuendelea kutujuza yanayojiri mtaani
Allah bless you and keep on shinning
Helen