HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 7, 2010

Groove Back Night Jumamosi hii

Dj Peter Moe akikamua
Dj Ran Kim akishow love na mwanalibeneke King Kif ndani ya Zhonghua Garden usiku wa kuamkia leo
wakuu wa kazi,toka shoto ni Dj Peter Moe,Mkuu Iman Kajula pamoja na Dj Kelvin wakiwa ndani ya kiota cha Zhonghua Garden usiku wa kuamkia le ambamo huwa ni usiku wa Groove Back.
wazee wa kitengo wakiwakilisha,toka kulia ni Iman Karula,Elihuruma Ngowi pamoja na mdau mwingine ambaye jina lake limenitoka kidogo,wote wakiwakilisha ndani ya kiota cha Zhonghua Garden usiku wa kuamkia leo.
sebene limekolea.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad