
======================
ULISHAWAHI KUWA MEMBER WA DARHOTBOARD ' DHB FORUM' SASA NI WAKATI WA KUKANDAMIZA UPYA TENA BAADA YA DHB KURUDI KISASA ZAIDI
HIVYO BASI UNAITWA KAMA ULIKUWA MEMBER INGIA KWA JINA LAKO LILE LILE AU LA JIANDIKISHE UPYA, TUNAANZA MAKAMUZI UPYA.
WAPI MASAKI,BABY KIBAKI, MSJACQUE,LIVECAT,MC ZOBIZOBI,GAIZKA,BIMKORA,DUMISANE,GEEQUE,MALIWAZA.MALISAK,FUNZADUME,NAILA,JANNY,LUCKY ONE,DR MUATHU, JENSALS,SUPER GIRL, GAIZKA, DINAH, MCHAICHAI, MADOIDO,KASUKU,PAPAK,TZKWELI,MTOTOWA MJINI NA WENGINEO WEEENGI NI WAKATI WAKUJUMUIKA UPYA NA KUANZA KUSOGOA KAMA KAWA
BOFYA
KARIBU SANA
Shamim Mwasha
MAcho hayo MAshallah! Aghhhhhhhhh! lazimak ujiunga.
ReplyDelete