HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 5, 2010

Yale Yaleeee!!!!Sijui Hapa Hapaonekani????

Watu wa halmashauri ya Jiji mbona hapa hamjaweka bango la kukataza kutupa taka??au ndio kusema hampaoni??picha hizi nimezipiga asubuhi ya pale Magomeni Kagera nilipokuwa katika mwendo wa kuendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa.
cheki zilivyorundikana hapa.jamani hivi kwa mpango huu jiji letu la Dar litaweza kuwa safi???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad