maana anabendera kibao za kitaifa,sasa sijui ni upi utaifa wake wa halali??huyoooo anajikataa zake kuwahisha malighafi sokoni.
basi tu mradu burudani
ReplyDeleteItakuwa anawauzia Watu wa Nchi hizo kwahiyo anajaribu kuwarizisha hahahaha Uzuri ni kwamba Bendera ya Taifa kaiweka Mbele kabisa Kama Baba alafu Marekani kama MKe.
ReplyDelete