HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 22, 2010

Tangazo La Msiba

Mama Salma Hilary Enzi za Uhai wake.

Bwana Joseph na Bibi Juhayna Kusaga wanasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi wa Bi.Juhayna Kusaga,Mama Salma Hilary Ajmi,kilichotokea leo asubuhi nyumbani kwake Masaki jijini Dar.

Mazishi yatafanyika kesho (Jumanne) kwenye makaburi ya KISUTU -UPANGA jijini Dar baada ya sala ya adhuhuri.
Taarifa ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wa marehemu

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI

-AMEN

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad