HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 15, 2010

Taa Ya Kuvushia Watu Iko Chali!!

hiyo inayoonekana hapo chini ni taa ya kuongozea watu watembeao kwa miguu wakati wa kuvuka Barabara,sasa sijui imepatwa na maswahibu gani mpaka kufikia kuwa hivyoo??maa kichwa kiko upande mwingine na kiwiliwili kiko upande mwingine!!!picha hii nimeipiga asubuhi ya leo pale Akiba mbele ya jengo la NSSF katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Morogoro rodi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad