
Meneja uhusiano wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Ltd,Teddy Mapunda akiwa ameongozana na mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mheshimiwa Muhammed Seif khatibu,aliyekuwa akiwasili eneo la tukio usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Msasani Club (makuti),Kawe jijini Dar

Mgeni rasmi na wenyeji wake wakikata keki kwa ajili ya kuukaribisha mwaka wa 2010 mbele ya wageni waalikwa waliohudhilia hafla hiyo usiku wa kuamkia leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mheshimiwa Muhammed Seif khatibu ambaye pia alikuwa ndiye mgeni rasmi kwenye hafla hii fupi na yenye kufana.akizungumza machache kwa wageni waalikwa,huku Mwenyekiti wa kampuni ya SBL,Jaji Mark Boman akimsikiliza kwa makini

Meneja uhusiano wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers Ltd,Teddy Mapunda kati akijimwaya mwaya na kundi la muziki wa asili linaloongozwa na Wanne stars usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa makuti Msasani beach club.

Mzee wa Libeneke wa blog ya Jamii Issa Michuzi akikabidhiwa cheti chake kwa mchango mkubwa alioutoa kwa kampuni hiyo ya Serengeti Breweries usiku wa kuamkia leo

WanaLibeneke wakiwa na vyeti vyao mara baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye hafla ya kampuni ya bia ya serengeti iilioandaliwa kwa ajili ya kufungua mwaka pamoja na kuvishukuru vyombo vya habari kwa kazi nzuri ambayo wamekuwa wakiifanya ya kuielimisha jamii katika mambo mbalimbali.Endelea
huku kwa picha lukuki>>.
No comments:
Post a Comment