Mwanamuzi Nguza Viking na mwanae Papii Kocha Nguza (Pichani) wamekutwa tena na hatia katika rufaa yao iliyokuwa ikisikilizwa leo katika Mahakama ya Rufaa na hivyo kurudishwa tena jela kuendelea na kifungo cha maisha.
Nguza alihukumiwa kifungo cha maisha na watoto wake wengine watatu ambao wawili kati yao wameachia huru leo na Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya kukutwa hawana hatia yoyote dhidi ya makosa ya Ulawiti yaliyokuwa yakiwakabili.
Ilikuwa ni vilio kuanzia kwa mtoto mdogo wa Nguza aliyekuwa akiwalilia baba yake na kaka yake na kwa ndugu pamoja na marafiki waliofurika Mahakamani hapo asubuhi ya leo. Walioachiwa huru leo hii ni Nguza Mbango na Francis Nguza.

Lakini huyu mzee na mwanane walikua na akili gani kufanya vitendo kama hivyo, Wanawake wamejaa kibao Bongo kila aina acha machangu waliomo kitu gani kwenda kuwanfanyia watoto wadogo mambo kama hayo, mi naona ni sawa kifungo walichopata kama kosa wamelifanya.
ReplyDeleteMzee wa MTAA KWA MTAA AYUU AWEKI TWENTI FO AWAZIII? MANAKE BIREKINI NYUZI YAN GUVU MAPEMAK ULIKO ANKAL MICHUZI> PAzi.
ReplyDeleteMdau Pazi ni kweli kabisa,libeneke linaendelea muda wote bila kikomo.
ReplyDeleteTumogope Mungu.Mungu atawasaidiya iko siku haki itapatikana tu!
ReplyDeleteTumogope Mungu Iko siku Haki itapatikana tuu Mungu Mkubwa!
ReplyDeleteJamaani tumogope Mungu!Tufanye yaliyo ya haki.Siku yao iko nao watakuwa huru!
ReplyDelete