HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 13, 2010

Ndinga Yapoteza Muelekeo Na Kuparamia Juu Ya Mti

Wananchi wa eleo la Kawe wakiliangalia gari lenye namba za usajiri T 857 BAR, lililoku likining’inia juu ya mti katika daraja la Kawe lililopo katika barabara ya Bagamoyo Road eneo la Mbezi kwa Komba baada ya dereza wa gari hilo kushindwa kulikontroo gari lake na hadi kufikia hapo lilipo.
Askari wa usalama barabarani, akiongoza magari ili kuondoa foleni ambayo ilikuwa ikisababishwa na madereva waliokuwa wakishangaa ajali hiyo jambo ambalo lilimfanya kila dereva kupunguza mwendo afikapo eneo hilo.ajali hii imetokea usiku wa kuamkia jana katika daraja la Kawe eneo la Mbezi kwa Komba,jijini Dar.(picha zote ni kwa hisani ya Muhidin Sufiani anaeendeleza libeneke kupitia HAPA)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad