HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 10, 2010

Naombeni Maelezo Ya Picha Hii Tafadhali!!

maana mie nimetoka kapa hapa.

5 comments:

  1. Jr hebu ipost picha hii kule katika kijiji chetu ili watu waichambue maana inasema mengi kuliko maelezo.
    Nidimi DON mugabe jr.

    ReplyDelete
  2. Kaka hapo mbona ipo wazi hiyo! Mafunzo ya jeshi yapo ya aina nyingi sana, bila shaka hawa watakuwa walipitia chuo cha TAI - CHI kutokana na wimbi la vijana wa mjini kuwa wanawachapa sana hawa askari wetu wa jiji kwa hiyo Lukuvi kaja na kasi mpya ya kuwafunza vijana mambo kama hayo ya kichina china, sasa hapo ni mkwara tu kwa watazamaji wajue ni kiasi gani washkaji wapo fit, hlf wanakula stori kana kwamba wamekaa kwny sofa vile! Teh teheee, ama kweli kuwa uyaone!

    ReplyDelete
  3. Don Mugabe Jr,nashukuru sana kwa ushauri wako na tayari nishaweka kule kijijini.

    Stiba mie mwenye nimechoka kabisa na hawa jamaa maana nikifikiria hicho kirungu najikuta nakosa jibu kabisa.kweli kabisa kuwa uyaone.

    ReplyDelete
  4. huyo wa kwanza ndo ameubuhu kbs yaani hana hisia kama kuna kitu kisicho cha kawaida kinataka kumuacces samaki

    ReplyDelete
  5. Jamaa mbona wana michezo ya hatari namna hiyo??

    ReplyDelete

Post Bottom Ad