HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 25, 2010

Mpigie Kura Makulilo Jr Katika Shindano Hili

Mdau,
Kuna mashindano yafahamikayo kama DELL SOCIAL INNOVATION COMPETITION ambayo yanashindanisha social issues (ideas) ambapo mshindi atapata dola 50,000 kuweza kutimiza project yake ambayo ameelezea. Mimi ni mmoja kati ya washindani.

Hivyo naomba watu waweze kunipigia kura na kutoa maoni yao ambayo yatasaidia kuingia katika 10 bora na hatimaye kuinuka kidedea.

Unachotakiwa kufanya ni kufungua tovuti hii hapa chini, na kisha jisajiri ili uweze kutoa maoni yako na kupiga kura yako (Join the community to vote and comment on your favorite ideas! )
Unaweza kuona ideas za watu wengine pia hapa http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/apex/ideaList?lsi=1

MAKULILO, Jr.
San Diego, CA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad