Mambo vipi Brother
najua upo poa! mimi naitwa Isiaka Mc ni mtangazajiwa kituo kimoja cha redio hapa mkoani IRINGA pia ni mmiliki wa studio za TIMAMU RECORDS nilikua nahitaji sapoti kutoka kwa wadau mbalimbali ili kuitangaza studio yangu na muziki kiujumla kwani ili kukuza muziki wetu tunahitaji ushirikiano kwa kutoka kwa wadau mbalimbali mkiwemo ninyi mablogger.
nawatakia kazi njema.
nawatakia kazi njema.

No comments:
Post a Comment