gari aina ya Fiat 682 a.k.a Mbaula ikiwa inaendeleza libeneke kama kawa na hapa liko katikati ya jiji maeneo ya Kariakoo likipiga mzigo wa kubeba taka ngumu.
No comments:
Post a Comment