HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 4, 2010

Kweli Hii Ni Bongo Daslaam!!

sasa kwanini wasitoe kwanza huo uchafu hapo nyuma halafu ndio wakaweka hilo bango lao??
kwa mpango huu mbona kazi ipoo!!

1 comment:

  1. Mie pia nimestukia wamekuta uchafu ndio wameweka Bango. wao wenyewe wachafu kwanini wameshindwa kuita wasafishi wa jiji wasafishe ndio waweke bango lao, Tizama uvivu wao wameweka Mbele ya huo uchafu bango. Pazi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad