HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 9, 2010

Kip Left Yetu Pale Stesheni Imerudi Tena

tena sasa hizi imerejea kwa staili ya kuwekewa matofali na utepe kama kawa.sijui safari hii itazinduliwa na mh. gani??maana ile ya awali ilipigwa kimya kimya lakini hii nafikiri lazima izinduliwe kwenye pabliki ya watu,na haki ya nani vile lazima niwepo siku hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad