Mkosoaji mkubwa sana wa sera za Rais Obama wa Marekani, na aliyekuwa mgombea mwenza wa kiti cha urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Repablikana, Sarah Palin, jana alibambwa laivu na kamera za luninga akigelezea majibu ya mwaswali aliyokuwa akiulizwa wakati wa mahojiano.Palin amekuwa akimkosoa Rais Obama kwamba hawezi kuzungumza bila kutazama tele-prompta, jana na yeye yakamkumba ya kumkumba. Usihukumu usije jihukumu.

No comments:
Post a Comment