HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 9, 2010

Hii Ni Hatari Sana!!

huyo anaeonekana hapo barabarani sio kwamba kagongwa wala nini,huyo ni omba omba ambaye kaamua kufanya hivyo ili aonewe huruma na apewe hela kwa ajili ya mahitaji ya msosi.kitu ambacho ni hatari sana kwa maisha yake maana yuko katikati ya barabara ambayo haina hata baraza ambazo zinakuwa kama kizuizi cha magari.Swali langu kwamba ni kwanini hii hali ya hawa watoto wa mitaani haidhibitiwi mpaka sasa???hali kama hii wanaichukuliaje??ni hayo tu.picha hii ni kwa hisani ya blog ya jamii kupitia kwa mdau wa Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad