HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 6, 2010

Ze Dogizz Fo Seli

mfanyabiashara wa kuuza mbwa akiwa tayari tayari kwa kuwapiga bei mbwa hao kwa mteja yeyote atakaepatikana kwa wakati huo,bei ni maelewano na pia inategemeana na mbwa mwenyewe alivyo.jamaa hawa wanapatikana sana pale maeneo ya Victoria katika barabara ya bagamoyo rodi.

2 comments:

  1. hawa jamaa huwa ni wezi sana wa mbwa, wanajifanya wanapita pita kila siku ili mbwa amzoee na kumlaghai kwa nyama au maziwa na mwisho wa siku utamkuta dogi on seli

    ReplyDelete
  2. wasenzi sana.. stole ma dog too.. son of them bitches.. waafrika hatuwachi asili.. sio kama ni sifa bali ni ushenzi tu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad