HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 21, 2010

Wazee Wa Kazi

hawa jamaa nimewakuta leo maeneo ya mtaa wa samora avenyuu wakipiga zao video,nafikiri ni watu wa habari kwa mashirika makubwa Duniani.sijui walikuwa wanarepoti kitu gani hapa??ila kusema mungu upenzi wa kweli hawa jamaa walinivulia sana na hizo zana zao za kazi,yaani nilitamani ningekuwa mimi hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad