HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 16, 2010

Mchuma Ukipigwa Sop Sop

Msela akipiga sop sop ndinga ya wana Jangwani a.k.a Yanga nje ya klabu hiyo iliyopo mtaa wa Jangwani na Twiga.timu ya Yanga leo inakipiga na timu ya African Lyon katika uwanja wa Uhuru a.k.a shambani kwa bibi ikiwa ni mwanzo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad