HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 2, 2010

Mambo Ya Mwaka Mpya Hayoooooo

Mziki ukikole mbona utanipenda maana huwaga sijivungi kabisa katika kuangusha moja moja.hapa ilikuwa ni jana katika sherehe za mwaka mpya pande za Jangwani Sea Brizze
Hapa niko na Wadau pamoja na familia zao katika sherehe hiyoo.
yaani palikuwa hapatoshi kabisa maana ilikuwa ni full kujichanganya tuu,si watoto wala wakubwa.

1 comment:

  1. MAOMBI!!


    Pole sana na kazi yako nzito ya kutupa taarifa mbalimbali kwa kupitia mtandao wako.Kwa niaba ya kampuni ya King Kipf Productions ya jijini Dar es Salaam, na Blogu ya www.kingkif.blogspot.com ninakuomba ututangazie blog yetu hii ya:kingkif.blogspot.com.Kwenye mtandao wenu ili tuweze kuwafikia wanaulimwengu wenzetu mbalimbali ili waweze kupata taarifa ya mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye sayari hii.
    Kufanikiwa kwa jambo hili itasaidia kwa namna moja ama nyingine watu kupiga hatua kubwa. wako,

    Mkurugenzi King Kif Productions

    Sigfred Peter.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad