Hotel ikiwa imepaki ardhini ikisikilizia vichwa,Hoteli hii ina vyumba 18 vya kulala tena vile vya hai klasi na kila chumba kimekamilika kwa kila huduma ipatikanayo katika hoteli ya kifahari ya kawaida.
Hotel ikiwa hewani huku ikiwa na eskot ya kufa mtu.
Mandhari ya vyumbani inavyoonekana ukiwa katika korido ya hoteli hiyo ya angani.daah wenzetu wameendelea jamani.
No comments:
Post a Comment