
Mtoto Sabrina Juma akiwa katika pozi la kusherehekea besdei yake ya kuzaliwa pamoja pamoja na kusherehekea mwaka mpya usiku huu.

mtoto Sabrina Juma akiwa na mama yake mzazi,Bi Amina wakati wa kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa ya mwanae ambaye alizaliwa tarehe kama ya leo,miaka sita iliyopita.

Mtoto Sabrina akivinjaria katika Mall ya Mlimani city usiku huu ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa.Blog hii ya Mtaa Kwa Mtaa inamtakia maisha marefu mtoto Sabrina na Mungu amjaalie afya njema na amjaalie katika masomo yake ili afike mbali zaidi na zaidi.
No comments:
Post a Comment