Herini nyote kwa mwaka mpya.
Hivi sasa kampuni ya madalali ya Majembe Auction mart hususani katika jiji la Dar,imekuwa ikifanya kazi za traffic na Sumatra;
Yaani kukamata daladala zinazokatisha njia,madereva wasio na leseni au wenye inapropriate driving licence.Kinachonishangaza mimi,ni kwanini kazi ambazo zilitakiwa zifanywe na askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani pamoja na Sumatra zinafanywa na madalali?

Inamaanisha hela za watanzania walipa kodi zinazolipwa kama mshahara kwa wa2 wa Sumatra na traffic ni aina nyingine ya ubadhilifu wa mali ya umma(ufisadi)?.
Kingine ni kuwa sheria iliyofanyiwa marekebisho ya makosa ya usalama barabarani ( RTAA no.30 ,1973)inaamuru kutozwa kwa faini ya Tshs 20,000/= kwa kila kosa; na hawa Majembe wanatoza 250,000/= kwa kila kosa.Swali; Jee ni nani aliyewapa mamlaka ya kutoza faini hiyo iliyo kinyume cha sheria za nchi yetu? Mi nina wasiwasi na hii kampuni,pengine ni ya walewale akina nanhii...
ni hayo tuu na naomba yafanyiwe kazi jamani.
Mdau.
ni hayo tuu na naomba yafanyiwe kazi jamani.
Mdau.
No comments:
Post a Comment