HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 16, 2010

Chemsha Bongo: Huyu Ni Nani???

Mtaa Kwa Mtaa leo imeona iwaletee wadau wake wapendwa kashemsha bongo haka,ambako kanataka kumtambua mtu huyu aliopo hapo pichani.Je wamtambua mtu huyu???

10 comments:

  1. we michudhi athumani bwana kwa viswali simpo,
    huyu ni ze dogi faza ei kei ei - snupi dugi dugi

    ReplyDelete
  2. Sinupi Mbwa Mbwa. Mdau Mwanarumango.

    ReplyDelete
  3. Huyo anaitwa Kelvin Brodas aka Snoop Doggy Dog

    ReplyDelete
  4. Huyo ni Athumani nanihii jina la mbele limenitoka..!

    Mdau Haiti!

    ReplyDelete
  5. Tupe mji bwana ila sura si ngeni sana hii nahisi atakuwa mjomba wangu huyu!!!!

    Mrembo Say

    ReplyDelete
  6. hoyo mikael wa jordan!!!!! kaka zee la kikapu.

    ReplyDelete
  7. Huyu nimfalme wa soka duniani PELE
    MDAU
    KISIJU PWANI

    ReplyDelete
  8. JK akiwa kijana kabla ya kuanza blah blah..

    ReplyDelete
  9. huyu jamaa namfahamu kabisaaaa.... tena nilichezaga nae sana enzi hizo.ila jina lake ndio limentoka kidogo.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad