HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 6, 2009

Wana FotoBaraza

toka kulia ni Charles Cha,Pascal Mabagala,Hanifa pamoja na Mie tulipokuwa pamoja katika sherehe ndogo iliyoandaliwa kwa ajili ya kumpongeza Mdau Hanifa mara baada ya kuhitimu masomo yake ya juu katika chuo kikuu cha St. Augustine kule jijini Mwanza.ambapo sisi ndio tulioteuliwa kukiwakilisha kijiji cha FotoBaraza.Net katika sherehe hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Nyumbani kwa Bibi yake Hanifa,Kurasini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad