
Bendera za Taifa letu zikipepea katika barabara ya Nyerere Road ikiwa ni maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya Uhuru wa Nchi yetu

moja ya matangazo yaliyowekwa katika kila kona ya jiji la Dar yanayoonyesha namna itakavyokuwa katika Sherehe hizo za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Uhuru wa Nchi yetu ya Tanzania hapo kesho katika uwanja wa Taifa.
No comments:
Post a Comment