
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walijitokeza leo uwanja wa Uhuru kusherehekea miaka 48 ya uhuru. Kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davies Mwamunyange

Amiri Jeshi Mkuu akikagua gwaride la heshima kuadhimisha miaka 48 ya Uhuru

Amiri Jeshi Mkuu akipokea saluti maalumu baada ya kuwasili Uwanja wa Uhuru

Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza katika maadhimisho ya miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar.
No comments:
Post a Comment