HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 3, 2009

RAS NAS ndani ya Sri Lanka

Ras Nas pamoja na kikosi chake wakiwasili Colombo tayari kwa maonyesho matatu miji ya Colombo na Galle, Sri Lanka, wikiendi hii. Ras Nas anawasilisha Norway na Tanzania vile vile! Toka kushoto Larry Skogheim (besi, Norway), Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi (sauti na ridhim gitaa, Tanzania), Dag Pierre (solo gitaa, Sweden), Chuck Frazier (solo namba mbili, Houston Texas), Uriel Seri (drums, Ivory Coast), Karlos Rotzen (kinanda, Martinique).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad