HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 18, 2009

Nani Wa Kuibuka Na Chuma Hiki Leo??

Warembo wanaoshiriki kinyang''anyiro cha kumtafuta mrembo wa Afrika mashariki,wakiwa wamezunguka gari aina ya Toyota Celica ambayo ndiyo inayoshindaniwa na walimbwende hao usiku wa leo katika ukumbi wa Mlimani City Comference Centre jijini Dar.sijui ni nani atakaeibuka na mchuma huo???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad