leo tarehe 27/12/2009 ndio fainali ya mashindano ya kombe la Tasker yatayofanyoka kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar,ambapo miamba wawili watamenyana leo katika wanja hilo la taifa,timu zitakazomenyana leo pale Taifa ni Yanga ya hapa hapa Nchini na Sofapaka toka kule Nchini Kenya.sasa nani wa kuibuka kidedea leo pale Taifa??
Sunday, December 27, 2009

Home
Unlabelled
Nani Ataondoka Na Kitika Cha Tasker Leo??
Nani Ataondoka Na Kitika Cha Tasker Leo??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment