HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 1, 2009

Mlima Kitonga Waendelea Kuchongwa Ili Kutanua Barabara

jamaa wanaofanya kazi ya uchongaji wa mlima Kitonga wakiwa ndani ya winchi wakiendelea kipiga mzigo.
Moja ya mashine zinazotumiwa katika uchongaji wa mlima wa Kitonga ili kutanuliwa kwa barabara ipitayo katika mlima huo kikipiga mzigo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad