Naomba uwafikishie wadau hii hali iliyokuwepo leo katika barabara ya Morogoro road kuanzia kimara mpaka Ubungo kuelekea mjini,yaani foleni ilikuwa ni ndefu sana hadi njia za watembea kwa miguu leo hii zilifisadiwa na wenye magari kama zionekanavyo picha hizi,sasa sijui ni kutokana na hili swala zima la sikukuu za Xmas na Mwaka Mpya??
haya wadau nawatakia sikukuu njema ya Xmas na Mwaka mpya.
Mdau Chaoga,
Uwanja wa Fisi
tunaogopa hata kununua gari maana tutapita wapi kaka....!! wacha siku zinde labda miundo mbinu itakuwa safi~!!
ReplyDelete