
Mwanamuziki mahiri wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC ,aiishie na kufanya kazi zake nchini Ufaransa JB Mpiana akipunga mkono kutoa salamu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam 23:54 usiku wa kuamkia leo. Kushoto kwake ni Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kirimbai Ndosi.

Mwanamuziki Mahiri wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo aiishie na kufanya kazi zake nchini Ufaransa JB Mpiana akiwa ameambatana na wadhamini wake waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Kulia kwake ni Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kirimbai Ndosina kushoto kwake ni Mwamama Yasmin aliyeambatana naye pamoja afisa masoko wa Embasy Joackim Kyula.

Jb Mpiana na kundi lake walipiga picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Kushoto kwake ni Meneja Msaidizi wa Sigara Embassy, Elizabeth Kirimbai Ndosi.
No comments:
Post a Comment