
huyu mtoto yupo pale katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Azikiwe Street,shughuli yake ni kusafisha vioo vya magari pindi yanapokuwa yamesimama kwa kufuata utaratibu wa wa taa za kuongoza magari hayo,kitu ambacho hakileti picha nzuri kabisa katika nchi yetu hii.maana kwa umri wake alistahili kuwa shule na si kuja kuganga hapa barabarani kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa Kwa Mtaa

hawa nao wako pale makutano ya barabara ya Morogoro na Kawawa road,nao kazi yao ni kuomba watu waliopo kwenye magari pindi yasimamapo kusubiria utaratibu wa taa za kuongozea magari.hivi ni lini hili tatizo litamalizika???
othman Tatizo linakuja michango ya Masuperstar ndio wanatakiwa kuwasomesha hao kama watoto yatima, na jengine Serikali wawape Ombaomba Vibajaji wawafundishe iwe kama hajira yao ya kazi kuliko kuomba.
ReplyDelete