HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 21, 2009

Hii Ni Hatari Sasa!!

wapita njia katika barabara ya Morogoro road wakipita jirani kabisa na nguzo ya umeme iliyoanguka asubuhi ya leo kutokana na kukaa hapo kwa muda mrefu sana na kufikia kuharibika kabisa kwa nguzo hiyo kutokana na kuliwa na wadudu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad