
leo ni siku ya zawadi inayofahamika kwa ile lugha ya watu kama Boxing Day,hivyo nami nawapa zawadi hii ya picha ya mtanange wa Ndondi baina ya Cheka na Kaseba huku ukiendelea kuvunja mbavu zako na Charlie Chaplin hapo chiniikiwa ni katika kuisherehekea sikukuu hii ya zawadi

No comments:
Post a Comment