
dogo akiwa kajilaza pembezoni mwa barabara ya Morogoro,jana mchana

na huyu ndio yuko job kwa sasa maana ilaelekea alikuwa alosto sana

mwingine ndio muongozaji katika kuomba,hawa wote ni watoto wenye umri kati ya miaka 6-10 ambapo kwa kawaida ni umri unaotakiwa wawepo mashuleni,lakini wao ndioo kwanza wako lodini kusaka mahela.hii imekaaje wandugu??
No comments:
Post a Comment